
Barua Kutoka Mtaani
Ifuatayo ni riwaya ya mwandishi chipukizi Elias Shelukindo kutoka Tanzania. Riwaya hii ilishinda nafasi ya tatu bora katika mashindano ya uandishi iliyowezeshwa na Mozilla Foundation:
Mtoto wa mtaani anakufa kila leo, akiponyoka katika kifo wakati akijitafutia chakula basi maradhi yatakatisha uhai wake. Nani anajali? Mwili wake unauzikwa, Maisha yanaendelea. Mithili ya kisu kikali, Maisha yanawakata. Wapo ambao wameyakatisha Maisha yao kwa kijinyonga. Wameamua kukimbia dunia isiyowatambua kama sehemu yao…
wasifu wa mwandishi Elias
Elias B Shelukindo (kuzaliwa mwaka 02-06-2002) Manyara Tanzania.
Mwanafunzi katika chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma, ngazi ya stashahada.
Mwandishi chipukizi katika uwanja wa fasihi.
Facebook: @Mtunzi Shelukindo