Barua Kutoka Mtaani

Ifuatayo ni riwaya ya mwandishi chipukizi Elias Shelukindo kutoka Tanzania. Riwaya hii ilishinda nafasi ya tatu bora katika mashindano ya uandishi iliyowezeshwa na Mozilla Foundation:

Mtoto wa mtaani  anakufa kila leo, akiponyoka katika kifo wakati akijitafutia chakula basi maradhi yatakatisha uhai wake. Nani anajali? Mwili wake unauzikwa, Maisha yanaendelea. Mithili ya kisu kikali, Maisha yanawakata. Wapo ambao wameyakatisha Maisha yao kwa kijinyonga. Wameamua kukimbia dunia isiyowatambua kama sehemu yao…

INSHA BARUA KUTOKA MTAANI 

wasifu wa mwandishi Elias

Elias B Shelukindo (kuzaliwa mwaka 02-06-2002) Manyara Tanzania.

Mwanafunzi katika chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma, ngazi ya stashahada.

Mwandishi chipukizi katika uwanja wa fasihi.

Facebook: @Mtunzi Shelukindo

Photo Credit


Hekaya Initiative

Writing the East African Coast.

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

© Hekaya Initiative 2018-2020. All Rights Reserved. Design by Crablinks
%d bloggers like this: